Wednesday, March 14, 2012

WANATAFUTWA

KUNA MTU/WATU WANAPITA MAOFISINI NA MITAANI KUTANGAZA KUWA WANAUZA BIDHAA TOKA SHEAR ILLUSIONS. BIDHAA ZENYEWE NI PERFUME, HERENI,LOTION, NK... TUNAPENDA KUWATANGAZIA WATEJA WETU KUWA HATUNA WATUWANAOTEMBEZA BIDHAA ZETU, BIDHAA ZETU ZINAPATIKANA MADUKANI KWETU TU!HAWA WATU WANAWADANGANYA NA SIO KWELI KUWA BIDHAA WANAZOUZA ZINATOKA SHEAR ILLUSIONS, KAMA SIVYO NI VYA WIZI, NA WALA MSINU
NUE BIDHAA TOKAKWA HAWA WATU MAANA NI WAONGO NA WANATAFUTWA NA POLISI. TAFADHALI UKIMUONA/WAONA PIGA SIMU MARA MOJA KWA NAMBA IFUATAYO 0686 997 888.

UONGOZI.
SHEAR ILLUSION

No comments:

Post a Comment